Davis Mosha "The Boss" akifanya mahojiano na kituo cha VOA jijini Washington DC, kulia ni mwanae Edgar Mosha mwanafunzi mwenye kipaji cha masomo na soka.
Davis Mosha "The Boss" akifurahia jambo katikati ya mahojiano na kituo cha VOA jijini Washington DC.
Kutoka kushoto; Juliet , Sunday Shomary, Edgar Mosha, Davis Mosha "The Boss" na Chief wa VOA Idhaa ya Kiswahili Dkt. Hamza Mwamoyo.
Davis Mosha "The Boss" na Edgar Davis wakipata picha ya kumbukumbu baada ya kuteta na VOA, Jijini jijini Washington DC
Edgar Davis, Davis Mosha "The Boss" na mtangazaji mahiri bwana Sunday Shomary
Juliet, Alex Kassuwi, Edgar na The Boss wakipata picha ya ukumbusho VOA.
Alex, Edgar na Mpiganaji Davis Mosha katika kituo cha VOA, DC
No comments:
Post a Comment